MAUZO KATIKA SOKO LA HISA YATIA FORA KWA MWAKA 2015,SOMA HAPO KUJUA
hali ya mauzo katika soko la hisa Dar es salaam (DSE) imepanda ,mara dufu kwa mwaka 2015 hadi kufikia Trilioni moja ikiwa ni katika mpango mkakati wa miaka mitano wa mabadiliko katika taasisi hiyo ulioanza mwaka 2013.
Meneja Fedha soko la Hisa Dar es salaam DSE IBRAHIMU MSHINDO akitoa ufafanuzi kuhusiana namwenendo wa soko la mitaji katika soko la hisa |
Akizungumza na waandishi wa Habari Meneja Fedha wa soko hilo Ibrahimu Mshindo amesemakuwa ongezeko la makampuni pamoja na ubinafsishwaji wa makampuni ya serikali umechangia kwa kiasi kikubwa kupanda kwa mauzo ya hisa katika kipindi cha miaka mitatu ya mpango mkakati huo.
‘’KATIKA kipindi cha Mwaka 2012 - 2013 tuliuza jumla ya bilioni 50 ambapo mwaka 2013 tulifikia mauzo ya hadi bilioni 253 kabla ya mwaka 2014 ambapo mauzo yalipanda hadi kufikia milioni 383 ambapo katiuka n m3waka wa tatu wa mpango wetu wa miaka mitano tumeweza kufikia Trilioni moja ‘’Alisema Mshindo. .
chati ya ukuaji wa mtaji na uwekezaji soko la dse kwa mwaka 2015 pamoja na nembo mpya b ya soko la hisa DSE
Meneja Mshindo amesema kuwa kwa mwaka 2016 wanatarajia kupoata mauzo zaidi kutokana na mtiririko wa ongezeko ambapo kmila mwaka tangu waanze mpango mkakati kumekuwa na ongezeko la hadi kufikia mara mbili ya mauzo ya mwaka uliofuatia .
Vile viule alidokeza kuwa soko la hisa litaonyesha mfanbo kwa kuweka hisa zake sokoni na kuonyesha uimara wake na mfano kwa makampun9i mengine yaliyop[o sokoni.
kwa mwaka 2016 DSE pia wamebadilisha nembo ili kukimbizana na soko pamoja na maendeoleo ya hali ya biashara ulimwenguni kwa kuweka nembo itakayoshawishi wawekezaji kuwekeza ikwa urahis
Hakuna maoni
Chapisha Maoni