KAMNDA SIRRO AZIDI WAKAMATA WAUZA MADAWA YA KULEVYA,SOMA HAPO KUJUA
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam
linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za kukutwa na madawa yadhaniwayo ni ya
kulevya yenye uzito unaofikia kilo moja.Anaadika KAROLI VINSENT endelea nayo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini dare s
Salaam,Kamanda wa Kanda hiyo,Naibu kamishna wa Polisi,Saimon sirro amesema
watuhumiwa hao walikamatwa tarehe
27/1/2016 maneno ya kinondoni ufipa majira ya saa tano asubuhi baada ya kikosi
kazi cha kupambana na madawa ya kulevya kupokea taarifa kutoka kwa raia mwema.
Sirro amesema Jeshi hilo baada ya kupata taarifa
hizo wakaweka mtego na uliofanikisha kukamatwa watuhumiwa hao kwenye gari namba
7984 cgz aina ya Toyota IST,
Hata hivyo sirro hakuyataja majina ya watuhumiwa hao
kwa sasa kwasababu ya kiupelelezi,ambapo Unga huo unaliokamatawa umepelekwa
kwenye ofisi ya mkemia mkuu wa serikali kwa uchunguzi zaidi,
Katika hatua nyengine Jeshi hilo la polisi
limefanikiwa kuwakamata watu watatu kwa tuhumza za kukutwa na nyara za
serikali ambazo ni meno ya matano ya
Tembo,
Sirro amesema watuhimiwa hao walikamatwa ,namo
tarehe 22/01/2016 majaira ya usiku huko
Kibamba Hospotali kata ya kibamba wilaya ya kimara,Kinondoni jijini hapa ,
Ambapo amedai polisi walipokea taarifa kuwa kuna
mfanyabiashara anauza nyara hizo,jambo lilowafanya Polisi kuweka mtego na
kufanikiwa kuwakata watuhumiwa hao,
Watuhumiwa hao ni Ibrahimu Samwel,mkazi Temeke
jijini hapa,Amriiiis Francis,miaka 44,mkazi wa Tanga, pamoja na Jailan
Mohamed,miaka 33,mkazi wa Magomeni jijini hapa
Hakuna maoni
Chapisha Maoni