Zinazobamba

LOWASSA AISIMAMISHA MAGU LEO,AFUNGA BARABARA MAENEO YOTE,SOMA HAPO KUJUA



MGOMBEA wa Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ambaye anaungwa na UKAWA,Edward Lowassa amezidi chanya mbuga katika kanda ya ziwa ,kwa kuitikisa Magu leo huku huduma zote zikisimama kumpisha Lowassa na kampeni zake,

Maoni 1

Bila jina alisema ...

mwenyezi mungu muweza wa yote,uzidi kumbariki mpendwa wetu mheshimiwa edward lowassa ajaliwe afya njema ,azidishiwe hekima ili baada ya kumchagua kuwa rais wetu atuletee faraja na neema tele.