WAZIRI KABAKA AFANYA HICHI LEO,SOMA HAPA KUJUA
Waziri wa Kazi na ajira Gaudensia Kabaka Akizungumza na wajumbu wa Bodi Mpyaya Wadhamini |
WAZIRI wa Kazi
na Ajira Gaudensia Kabaka amezindua Bodi ya wadhamini katika mfuko wa Kazi ambapo
Bodi hiyo itakuwa na lengo la kusimamia usalama wa wafanyakazi .,Anaandika KAROLI VINSENT
endelea nayo.
Wajumbe wa Dodi wakimsikiliza kwa makini Waziri kabaka |
Akizindua Bodi hiyo leo Jijini Dar es
Salaam Waziri Kabaka amesema Bodi hiyo itakuwa murubaini katika kutatua kero
mbali mbali za wafanyakazi kwa zilizokuwa zinawakuta kwa kipindi kilefu.
Waziri Kabaka ametaja kazi za Bodi ni
itakuwa na jukumu la kutoa elimu kwa wafanyakazi nchini,kutatua kero mbali
mbali pamoja na kulinda usalama kwenye kazi.
Aidha,Waziri Kabaka ameitaka Bodi hiyo
kufanya kazi kwa weredi mkubwa kuhakikisha wanaleta matunda bora kwa
wafanyakazi nchini.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni