TOROKA UJE SINGIDA KWA LOWASSA,TIZAMA BALAA HILI,ATETEMESHA NYUMBANI KWA MWIGULU SASA NI HATI HATI,SOMA HAPO KUJUA
MGOMBEA wa
Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Edward Lowassa ambaye
anaungwa mkono na Vyama vinavyounda UKAWA Amezidi litikisa Taifa,
Baada ya leo
Kuutikisa mkoa wa Singida na Viunga Vyake huku mkoa huo,shughuli zote zikiwa
zimesimama ili kumpokea lowassa,kama ambayo unaona kwenye picha hizo,
Umati wa
watu ukiwa umetanda barabarani wakimlaki Lowassa huku wakiimbi nyimbo kwa
kusema “Rais Rais Rais”
Mkoa Singia
ambayo kwa kiasi kikubwa ni ngome ya CCM ambapo ndio unamtoa Naibu Waziri wa
Fedha,Mwigulu Nchembe,Waziri wa Maliasili na Utalii Nyalandu
Hakuna maoni
Chapisha Maoni