MWANDISHI KUBENEA KULITEKA JIJI LA DAR LEO,SOMA HAPO KUJUA
Mgombea Urais wa tiketi ya UKAWA, Edward Lowassa (kushoto) akimnadi mgombea ubunge wa Ubungo, Saed Kubenea katika kampeni zilizofanyika Mbez
MWANDISHI wa hodari wa Habari nchini saed Kubenea ambaye ni mgombani
Ubunge kupitia Jimbo la Ubungo kwa kiketi ya Chama cha Demokrasia na maendeleo
Chadema anatarajia kulismamimisha jiji la dare s Salaam kwa saa tatu pale
takapozindua Kampeni zake za Ubunge katika Jimbo la Ubungo.Anaandika Karoli
Vinsent endelea nayo.
Kubenea ambaye ni Mkurugenzi Kampuni
ya Hali halisi Limited ambao ni wamilikiwa wa Gazeti
laMawio,Mwanahalisi,Mtandao wa Mwanahalisi oline,anatarajia kuzindua Kampeni
katika Viwanja vya vya Mpakani karibu na Mahakama ya Ndizi, Mabibo ambapo mgeni
rasmi atakuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Fredrick Sumaye.
Taarifa zinasema Mkutano huo utarushwa
moja kwa moja yaani (Live)na kituo cha Luninga cha ITV unatazamiwa kuwa na
mambo mengi ya aina yake kutokana na Uhadari wakufichua Maovu kwa Mwandishi
huyo Mwanadamizi wa Habari nchini.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni