Zinazobamba

LOWASSA ATETEMESHA KWA ZITTO KABWE,TSUNAMI YAKE YAVUNJA NGOME YA ACT-WAZALENDO,SOMA HAPO KUJUA







 Hapa ni katika viwanja vya Mwanga Community Centre Kigoma Mjini


 Mama Regina Lowassa atembelea wanawake Tabora. Ujumbe aliotoa ni "Tunaweza wanawake kufanya mabadiliko 2015"




Mama Lowassa naeyeye yupo mkoani Tabora akihamasisha wanawake wenzake kufanya kweli Oktoba25 kuichagua CHADEMA


MGOMBEA Urais kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na 
Maendeleo Chadema Edward Lowassa ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda UKAWA ametua rasmi mkoani Kigoma na kupokelewa na Umati mkubwa wa watu kama unavyoona kwenye picha hizo.
     Mkoa wa Kigoma ambapo inadaiwa ni ngome kubwa ya chama cha ACT-Wazalendo kuingia huku kwa Lowassa ni kama kumeitikisa ngome hiyo ambayo imetengenezwa na Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe.

Maoni 1

Kilian mruma alisema ...

Mpaka kieleweke. Ulipo Tupo.