LOWASSA ATETEMESHA KWA ZITTO KABWE,TSUNAMI YAKE YAVUNJA NGOME YA ACT-WAZALENDO,SOMA HAPO KUJUA
Hapa ni katika viwanja vya Mwanga Community Centre Kigoma Mjini
Mama Regina Lowassa atembelea wanawake Tabora. Ujumbe aliotoa ni "Tunaweza wanawake kufanya mabadiliko 2015"
Mama Lowassa naeyeye yupo mkoani Tabora akihamasisha wanawake wenzake kufanya kweli Oktoba25 kuichagua CHADEMA
MGOMBEA
Urais kwa tiketi ya chama cha Demokrasia na Mama Regina Lowassa atembelea wanawake Tabora. Ujumbe aliotoa ni "Tunaweza wanawake kufanya mabadiliko 2015"
Mama Lowassa naeyeye yupo mkoani Tabora akihamasisha wanawake wenzake kufanya kweli Oktoba25 kuichagua CHADEMA
Maendeleo Chadema Edward Lowassa ambaye anaungwa mkono na Vyama vinavyounda UKAWA ametua rasmi mkoani Kigoma na kupokelewa na Umati mkubwa wa watu kama unavyoona kwenye picha hizo.
Mkoa wa
Kigoma ambapo inadaiwa ni ngome kubwa ya chama cha ACT-Wazalendo kuingia huku
kwa Lowassa ni kama kumeitikisa ngome hiyo ambayo imetengenezwa na Kiongozi
mkuu wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe.
Maoni 1
Mpaka kieleweke. Ulipo Tupo.
Chapisha Maoni