HIVI NDIVYO MSAKA URAIS SITTA ALIVYOWASHIKA VIJANA....
Hivi karibuni MZee huyo alikutwa na FULLHABARI akishiriki katika shida na raha na kuwatakia heri vijana ambao ndio wanaanza maisha.
Bw. Said Magali akiwa na mkewe Bi Scorastica katika pozi maridadi siku walipouaga ukapera huko katika kanisa kuu wa wakatoriki mjini Morogoro, |
Mzee kipenzi cha watu akifuatilia wanandoa waliofunga ndoa hiyo juzi, jumla ya ndoa tatu zilifungwa siku hiyo |
Mlimbwende Scola katika pozi matata, Scola anatarajiwa kwenda kuishi na mmewake, Bw. Magali huko Kabuku Mkoani Tanga. |
Magali akiwa katika pozi la ndoa , huyu ni mdau wangu wa nguvu hongera ndugu kwa kuaga ukapela. |
Maoni 1
hao hao aliohudhulia harusi zao kura zao zitatosha kumpa urais kwa hiyo asihofu watamchagua tu!
Chapisha Maoni