BREEKING NEWZZ KUHUSU AFYA YA JK HII HAPA
Habari
kutoka hospitalini hapo ambazo Globu ya Jamii imepata zinasema Rais
Kikwete anaendelea vyema na leo asubuhi alianza mazoezi ya kutembea,
kuashiria kwamba mambo yote ni mswano. Tutaendelea kuwashirikisha kwa
taarifa sahihi za maendeleo yake mara kwa mara. Tuzidi kumuombea apate
nafuu haraka ili arejee nyumbani kulijenga Taifa.
Hakuna maoni
Chapisha Maoni