SERIKALI YAOMBWA KUPUNGUZA KODI KWENYE VIWANDA NCHINI,SOMA HAPA ZAIDI
Na Habiba
Chagamba.
Serikali ya
Tanzania imeshauriwa kupunguza kodi za viwanda, ili kuongeza uzalishaji wa
bidhaa hapa nchini, na kusaidia ukuaji wa viwanda .
Akizungumza na FULLHABARIBLOG leo jijini
Dar e s salaam Mkurugenzi mtendaji wa BERGER PAINTS INTERNATIONAL LTD
Bwana
Mehbood Bharwan amesema, viwanda vingi vya hapa nchini vinashindwa
kujiendesha kwa kuwa wanatoa kodi kubwa serikalini tofauti na uzalishaji wa viwandani.
Bharwan amesema, japokuwa serikali inahitaji kodi ili
kuboresha huduma za jamii lakini kodi hiyo ni kubwa sana ambayo inatishia
ukuwaji wa sekta ya viwanda hapa nchini
“Utakuta kiwanda kinalipa kodi
zaidi ya tatu wakati mmoja ambazo ni kodi katika mishahara , bidhaa na katika usafirishaji ambazo ni nyingi sana na katika mishahara
tunakatwa 30% hiyo ni kubwa sana kwa upande wetu” alisema Bharwan
Aidha amesema, serikali itaweza kupunguza kodi viwanda
vinaweza kuajiri watu wengi na kuzalisha zaidi na kuweza kusaidia kuinua uchumi
wa nchi na wananchi kwa ujumla kwani kwa sasa wanashindwa kuajiri watu zaidi
kwa kuwa uzalishaji wa bidhaa unakuwa mdogo na kodi ni kubwa.
Mkurugenzi huyo amesema, serikali
inabidi iboreshe miundombinu ili kusaidia usafirishaji wa bidhaa, na iweze kuboresha usafiri wa reli kwa ajili ya
mizigo ili kupunguza gharama za usafiri wa bidhaa ambazo zitaweza kuwafikia
wananchi kwa bei nafuu.
Maoni 2
kwanza ana mashine za EFDs au analalamika huku akiibia serikali, pili huyo mhindi afaham hakuna nchi isiyokusanya kodi ili kuwaletea wananchi wake faida,
kwa taarifa yake sasa tunaanza kumchunguza uhalali wa ulipaji kodi kwa serikali
aache usenge huyo muhindi, alafu wewe chagamba, mbona unaonekana unamsifia huyo kabachori wakati unajua wazi kuwa hao ni wazuri kwa kukwepa kodi, ona hata UBUNGO PLAZA imefungwa kwa kushindwa kulipa kodi hawa wahindi wanatufanya maendeleo yetu yarudi nyuma
Chapisha Maoni