Zinazobamba

HOTNEWSS--THELUTHI MBILI YAPATIKANA ,SAMWEL SITTA MENO NJENJE,SOMA HAPA KUJUA

 
Rasimu ya tatu ya Bunge maalum la katiba nchini Tanzania imepita kwa theluthi mbili za wajumbe kutoka Tanzania Bara na Zanzibar.
1. ZANZIBAR.
* Sura ya Kwanza Ibara ya 1 hadi 11 imepata theluthi Mbili
* Sura ya Pili Ibara ya Ibara ya 12 hadi 21 imepata theluthi mbili
* Sura ya Tatu Ibara ya 22 hadi 22 hadi
26 imepata theluthi mbili

Hakuna maoni