Zinazobamba

ppf yawafunda waandishi wa habari dar, yawataka kujiunga na mfuko huo kwa faida ya baadae

waandishi wakichukua fomu tayari kwa kujiandikisha na kupewa namba ya uwanachama na kupewa kitambulisho vyao leoleo
Waandishi wa habari wametakiwa kuachana na tabia ya kutojiwekea akiba katika mifuko ya  jamii, na badala yake waanze kujenga ya tabia ya kuwekeza katika mifuko ya jamii kwa faida yake ya uzeeni
waandishi wa habari wakipokea makabrasha ya semina hiyo,jumlaya ya waandishi mbalimbali walijiunga katika semina hiyo

semina hiyo
Wito huo umetolewa na mfuko wa penion wa ppf wakati walipokutana na waandishi wa habari mapema hii leo jijini Daresalaam,
Hatua ya kujiunga na mifuko ya PPF itawasaidia kuwezkeza kile kidogo wanachopata,hivyo kumuwezesha waandishi kujikwamua kwa kipato

Hakuna maoni