Hivi ndivyo jiji la Draesalaam lilivyozama katika kina kirefu cha maji ya masika, wakazi hawana hamu na jiji hilo
Poleni ndugu zetu wa Daresalaam, haya ndiyo mambo yanayoendelea katikati ya jiji la Daresalaam, ni fullshida mazee |
Hali ndivyo ilivyo katika jiji la daresalaam, wakazi hao wanapata adha kubwa sana ndani ya jiji yenye miundombinu isiyohimili mvua, hapa ndipo tulipofikia miaka hamsini ya uhuru, Mwenye mkoa wake asema wale waliokaa mabondeni shauri yao, kwani walikuwa hajaui kuna masikia |
Hakuna maoni
Chapisha Maoni