Mchezaji Emmanuel Okwi (katikati) akilakiwa na wapenzi wa timu ya Yanga
alipowasili jioni hii kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere, Dar es Salaam. Okwi ambaye zamani alikuwa mchezaji wa Simba
ameingia mkataba wa kuichezea Yanga kwa miaka miwili na nusu.
No comments
Post a Comment