Zinazobamba

DAR CITY YASHINDA KIBABE VIKAPU 96 KWA 76 KENYA


Timu ya Dar  City imepata ushindi mnono wa vikapu  96 kwa  76 dhidi ya wapinzani wake timu ya Ferroviaro Da Beira ya Msumbuji,chemo uliochezwa viwanja vya kasarani Nairobi Kenya

Timu ya Dar City iko Nairobi, Kenya kushiriki mashindano ya Road to BAL 2027 (hatua ya Elite 16 – Kanda ya Mashariki).

No comments