RC BURIAN AMEFUNGA MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA ZA FEDHA KITAIFA MKOANI TANGA
Pichani kulia ni Meneja Huduma kwa Wateja tawi la NMB Benki Plc Madaraka,Tanga.Juma Omary
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Balozi Batilda Burian,leo Januari 26,2025,amefunga Maadhimisho ya wiki huduma ya fedha Kitaifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya usagara Mkoani humo.
Kabla ya kufunga alitembelea mabanda yalikuwa kwenye viwanja hivyo ikiwemo Banda la Benki ya NMB na akawapa hongera kwa kazi kubwa wanayoifanya
Pichani katikati alieshika maiki,ni Meneja Mahusiano idara ya kilimo Kanda ya kasikazini Shukuru Banzi.
No comments
Post a Comment