Zinazobamba

HAYA HAPA MAHAFALI YA 37 YA CHUO CHA TAIFA CHA USAFIRISHAJI (NIT)

 


Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara(kushoto), akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Prof. Zakaria Mganilwa  wakati wa Mahafali ya 37 ya chuo hicho, yaliyofanyika Jijini Dar es salaam, Disemba 10, 2021.

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara, akiwa katika picha ya pamoja na wahitimu wa kozi ya uhudumu ndani ya ndege (cabin crew), wakati wa Mahafali ya 37 ya Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, yaliyofanyika Jijini Dar es salaam, Disemba 10, 2021.






Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara (kulia), akiwa ameambatana na Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Prof. Zakaria Mganilwa, Wakiwasili katika mahafali ya 37 ya chuo hicho yaliyofanyika Jijini Dar es salaam.

Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji, Prof Zakaria  Mganilwa, akitoa taarifa Kwa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara (hayupo pichani) wakati wa  mahafali ya 37 ya chuo hicho yaliyofanyika Jijini Dar es salaam,

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara, akizungumza na Wahitimu wa chuo cha  Taifa cha Usafirishaji (NIT), (hawapo pichani), kwenye mahafali ya 37 ya chuo hicho, yaliyofanyika Jijini Dar es salaam, Disemba 10, 2021.

Baadhi  ya wahitimu wa Chuo cha Taifa cha  Usafirishaji (NIT), wakimsikiliza Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara,(hayupo pichani),  wakati akihutubia kwenye mahafali ya 37 ya chuo hicho, yaliyofanyika   Jijini Dar es salaam, Disemba 10, 2021.


Hakuna maoni