JE UTAKUMBUKWA KWA LIPI?
Adeladius Makwega- DODOMA-WUSM
Ili mtu aweze kufanya uhalifu wowote ule kwanza ni lazima mtu
huyo awe na nia ya kulifanya jambo hilo ovu. Pili, akishapata nia au kusudio la kulifanya jambo hilo ndugu
atapata au kutafuta pahala/ sehemu/ eneo
la kufanya uovu huo. Tatu,akipatambua pahala hapo ndugu huyu atajiuliza swali je
huo uovu ataufanya yeye mwenyewe
au kwa shirika?.Nne, akishatambua hilo
anaweza kuufanya uovu huo kwa kutumia
mwili au kwa kutumia silaha yoyote
ile? Tano, mhalifu huyo tarajali sasa
uenda kufanya uhalifi huo baada ya kuwa na majibu hayo kukamilisha nia yake ovu.
Kwa kutazama maswali hayo namba moja herufi P hadi nambari tano tunaweza kuyaita
P1, P2.P3,P4 na P5.
Sasa hili kuweza kuzuia uhalifu kama wa wizi au ujambazi kuna
mbinu tofauti unaweza kuuzuia tangu kwenye nia ya kuufanya uhalifu huo yaani
kwenye hatua yoyote ile.
Wizara yetu ya Mambo ya
Ndani ya Nchi chini ya Augustino Lyatonga Mrema ambaye aliiongoza tangu mwaka
1991-1994, yeye alikuwa na dhana ya kupambana
na uhalifu katika hatua za awali kama
nilivyozitaja. Jmabo hili kw ahakika
lilisaidia mno kupunguza uhalifu
hasasa hasa kw akutumia polisi jamiii
iliyokuwepo nchni nzima kwa kila mtu kulinda eneo lake kea kutumia sungusungu kila mtaa na kila
kijiji.
Mathalania mhalifu huyo anapokuwa na nia ovu kwa wkatai uo anaptaka kwneda kuufanya
uhalifu huo tu pale alaipokuwa akitoka
katika nyumba yakea alikutana na Sungusungu na swalia
la kwanza unakwenda wapi? Umebeba
nini? Au wale waliokwisha fanya uhalifu
unatoka wapi na umebeba nini? Kw ahiyo
ndiyo kusema uhalifu enzi za Mrema uliweza kuzuiwa katika hatua ya P1, P2, P3 au P4.
Kama uhalifu wa wakatai huo ukifikia hatua ya P5 hapo utakuwa umewahusisha watu
wengi sana na jamboa hilo lilifanya kuweza kujulikana na polisi haoa kudhibiti
uhaliafu huo kwa uwezo wao wote na kwa
taarifa sahihi.
Utabaini kuwa Ulinzi wa
Sungusungu uliratubia na wajumbe wa nyumbakumikumi na wajumbe hao wlaitambua
hata tabia zawatu wote wlaiokuwa wkaiwaongoza. Kwa mfanoa katika nyumba moja hadia nyingine
kila mmoja alijulikana kwa hiyo hata wake
wenye tabia za kihalifu
wlaoijulikana na kuweza kutoa
taarifa pale tukio lilipotokea.
Katika Sungusungu hao msimamizi ilikuwa pia seiklia ya kijiji aua mtaa a husika
na ndiyo maana
Hakuna maoni
Chapisha Maoni