Zinazobamba

UFUNGUZI WA WIKI YA UTAMADUNI KWA UBALOZI WA IRANI ULIVYOFANA DAR


1
 Mgeni rasmi kutoka  Wizara ya habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Bw Petro Lyatuu wa kwanza kulia, kushoto kwake ni Balozi wa Irani Nchini Bw Mussa Farhang
2
 Mgeni rasmi kutoka  Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Bw Petro Lyatuu akizungumza katika ufunguzi wa wiki ya utamaduni  mapema leo katika ukumbi wa makumbusho ya taifa jijini dar es salaam.
3
Balozi wa Irani nchini Bw Mussa Farhang akizungumza wakati wa ufunguzi wa wiki ya utamaduni mapema leo katika ukumbi wa makumbusho ya taifa jijini dar es salaam.
4
 Bend ya nyimbo za kitamaduni kutoka nchini Iran ya khoshash shiraz ikitumbuiza katika uzinduzi wa wiki ya utamaduni mapema leo katika ukumbi wa makumbusho ya taifa jijini dar es salaam.
5
 kikundi cha Ngoma za asili kutoka nchini nao wakitumbuiza katika halfa hiyo ya ufunguzi wa wiki ya utamaduni  mapema leo katika ukumbi wa makumbusho ya taifa jijini dar es salaam.