IDDI AZZANI AKUBALI YAISHE AJISALIMISHA POLISI,,SOMA HAPO KUJUA

Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Kinondoni, Idd
Azzan ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi kuhojiwa kuhusu tuhuma za kuhusika na
Dawa za Kulevya.
Viongozi wengine waliotakiwa kufika polisi kuhojiwa
ni Askofu Josephat Gwajima na Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji,
ambao waliripoti jana kisha wakaondolewa na kupelekwa kusikojulikana