ASKOFU GWAJIBU AJILIPUA,AMVAA MAKONDA ,AMTKA RAIS MAGUFULI AMFUKUZE KAZI,SOMA HAPO KUJUA

Gwajima:-
Namuomba Rais ambadilishie Kazi
Makonda, hii ya Ukuu wa Mkoa kutawala na kuongoza hata watu usiowapenda
imemshinda. Sisemi amfukuze hapana nasema ambadilishie Kazi.
Gwajima
: Makonda ana chuki na wivu na mimi
Gwajima
: alikasirika hata niliposhuka na
helkopta yangu siku ya mechi ya viongozi wa dini na wabunge dodoma.
Gwajima
: nilichelewa kidogo nikaamua kupanda
helkopta yangu mpaka uwanjani kabisa.
Gwajima
: mimi nilicheza namba kumi Makonda
namba tisa, jicho alilokuwa ananiangalia ni la chuki mpaka nikawa nashangaa.
Gwajima
: hii hapa picha niko na Makonda,
naibu spika na viongozi wengine tukichangia ujenzi wa taifa mbona hajanikamata
hapa kama ninauza unga? .
Gwajima
: Makonda alikuja kanisani kwangu na
marehemu sitta na akapanda mazabauni je hakujua kama nauza unga?
Gwajima
: hili ni shambulio kwa kanisa sio kwa
Gwajima
Gwajima
: hili ni shambulio kwa wote walio
okoka tuonekane hatufai
Gwajima
: hili ni shambulio kwa maaskofu wote
na wachungaji wote
Gwajima
: kwa sababu Gwajima ana kanisa kubwa
Gwajima
: kwa sababu Gwajima ana waumini
zaidi ya elf sabini kanisani kwake na makanisa zaidi ya 400 nchi nzima.
Gwajima
: nilikuwa mkali Sana kwa serikali ya
awamu ya nne na kikwete
Gwajima
: nilikemea sana kupotea kwa ndovu
kila siku
Gwajima; Makonda anafanya hivi kwa maslahi
ya Nani? .
Gwajima
: Makonda anafanya hivi kufurahisha
serikali iliyopita ionekana nimekomolewa.
Gwajima
: Hili ni shambulio kwa Ukristo. Rais
wangu mpendwa mbadilishie Kazi Makonda.
Gwajima
: Makonda hajatumwa na Rais kufanya
anayoyafanya
Gwajima
: mimi namfahamu vizuri Rais, hawezi
kumtuma Makonda kufanya hivi.
Gwajima
: Makonda atavuka mipaka sasa,
atakemea Polisi, atakemea jeshi, atakemea wabunge
Gwajima
: Makonda atakemea mpaka waziri mkuu.
Gwajima; wenzetu wabunge wameungana kutumia
sheria na kanuni zao watamuhoji.
Gwajima
: sisi raia wa kawaida tusio na sheria
wala kanuni za kututetea tutashtaki wapi? .