WAZIRI MWAKYEMBE CHUPUCHUPU,APATA AJALI,SOMA HAPO KUJUA
Habari zimetufikia muda huu zinasema msafara wa
Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe umepata ajali ambapo gari la
DPP limepata ajali na kupinduka baada ya tairi la mbele kulia kupasuka. Eneo Ni
Bwanga na msafara unaelekea Chato kutokea Geita.
Habari zainasema gari hilo limeishainuliwa na safari inaendelea.Chanzo cha ajali hiyo kinaelezewa kuwa ilikuwa kuwakwepa watoto wawili waliovuka barabara ghafla na bila tahadhari.
Dereva na Abiria wote akiwemo Mkurugenzi wa makosa ya jinai Mhe. Biswalo Mganga na msaidizi wake inasemekana wametoka salama.