MATOKEO YA KIDATO CHA SITA KWA MWAKA 2016 HAYA HAPA... WENGI WAFAULU
Matokeo ya Kidato cha sita yametoka huku maelfu ya waliofanya mtihani huo wakifanikiwa kufulu na wengine 25 wakifutiwa matokeo yao kwa sababu tofuti ikiwamo kutumiana maswali na majibu yake kwa njia ya simu.
Akisoma matokeo hayo Katibu Mtendaji wa Balaza la Mtihani Tanzania Dkt Charles E. Msonda amewaambia waandishi wa habari licha ya wanafunzi kufanya vizuri katika mtihani huo, lakini ukiyalinganisha matokeo hayo na yale ya mwaka jana, ufaulu wa ujumla unaoneka kushuka.

ACSEE 2016 EXAMINATION RESULTS ENQUIRIES
CLICK ANY LETTER BELOW TO FILTER CENTRES BY ALPHABET
|