MSANII KLEYAH AWAPAGAWISHA MASHABIKI VIWANJA VYA ESCAPE ONE MKESHA WA PASAKA
Katika
tamasha hilo ambalo liliandaliwa na Clouds FM lililowakutanisha wasanii
maarufu nchini akiwemo Dogo Janja,Godzila,Q CHIEF,MB DOG na wengine
wengi Msanii KLEYAH Alipata nafasi ya kutambulisha nyimbo yake mpya na
kupokelewa kwa sangwe kubwa kutoka kwa watanzania waliohudhuria Tamasha
hilo lililofanyika Usiku wa mkesha wa pasaka.
Akizngumza
baada ya kufanya shoo yake msanii huyo aliwashukuru watanzania kwa
ushirikiano na mapokezi makubwa aliyoyapata na kuahidi kuendelea kutoa
burudani na kuhakikiaha kuwa anawsaburudisha watanzania kwa kupitia
kipaji chake.
Hapa kuna picha zote za tukio hilo unaweza kuzitazama
No comments
Post a Comment