WANANCHI WA LINDI NA MTWARA WATOLEWA HOFU KUHUSU GESI,SOMA HAPO KUJUA
| Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Alfred Luanda ambaye alikuwa mgeni rasmi akimwakilisha Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene akizungumza katika mkutano uliokutanisha baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Lindi na Mtwara leo katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. |
SERIKALI
imeandaa rasimu ya mkakati wa mawasiliano katika sekta ndogo ya mafuta na gesi ambayo
itaweza kusaidia kutoa elimu kwa wananchi na kuwaondolea usumbufu w wa
kupata taarifa potovu kuhusu kuwepo na gesi nchini.
Akizungumza leo jijini Dar es Salaam leo, Katibu Tawala
wa Mkoa wa Mtwara kwa niaba ya Mkuu wa
Mkoa wa Mtwara,Fatma Dendegu,Alfred Luanda
amesema kumekuwa na uhaba wa elimu kwa wananchi juu ya masuala ya gesina mafuta na kusababisha vurugu katika mkoa huo.
"Wananchi wamekuwa hawana elimu ya kutosha na kutokupewa ushirikishwaji kutoka serikalini
katika masuala ya gesi hali ambayo inapelekea wananchi kuwa na imani
potofu,"alisema.

Msemaji wa wizara ya Nishati na Madaini akizungumza na waandishi
wa habari kuhusiana na Uwazi, Ushirikishwaji na uwajibikaji katika
sekta ya mafuta na Gesi leo katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam leo.
Amesema mamkakati huo wa
elimu hiyo ya mawasiliano kwa wananchi utasaidia kwa kiasi
kikubwa katika kuwahakikishia wananchi kuwa gesi iliyokuwqepo nchini ina faida
kwa kila mwananchi.
Luanda amesema neema ya gesi iliyotokea nchini ni lazima ilindwe kwani itasaidia
katika kukuza uchumi wa nchi na kusaidia taifa kuwa katika uchumi wa kati kama inavyotegemewa katika miaka ijayo.

"Faida
nyingine kubwa kwa kuwepo na gesi nchini ni mchango mkubwa kuzalisha gesi
hivyo itatumika kuzalisha umeme na taifa kuwa na umeme wa uhakika na
wakutosha,"alisema.
Kwa upande wake,Meneja Mawasiliano wa Wizara ya Nishati na Madini Badra Masoud
alisema mkakati huo unatarajia kukamilika mwishoni mwa mwezi Juni mwaka huu na
baadae kuwapa wadau kuupitia na kwenda kwa wananchi.
"Mkakati huu utakuwa ni chachu ya kuwapa wananchi kuelewa rasilimali iliyokuwepo nchini
na kuielewa faida yake na kuondokana na upotofu ambao wanaupata kutoka katika
makundi mbalimbali,"alisema.

No comments
Post a Comment