 |
| Meneja bidhaa wa Lumia kanda ya Afrika mashariki
King'ori Gitahi akizungumzia ujio mpya wa simu tatu tofauti utoka
kampuni hiyo katika soko la Tanzania. Jumla ya simu tatu mpya zenye
uwezo wa hali ya juu zimeznduliwa, simu hizo ni Lumia 430,Lumia 540 na
Lumia 640 XL. |
 |
| King'ori Akifafanua jambo kuhusu simu hizo mpya ambazo zimezinduliwa rasmi mapema hii leo jijini Daresalaam. Alisema simu hizo zitapatikana katika marafiki wao wote wanaofanya nao biashara. Wakala wao mkuu ni Midcom ambao wana kitengo cha huduma kwa mteja. hvy wateja wanaweza kufaidi huduma zao kupita wakala hao wa kitanzania. |
 |
| Sehemu ya waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini uzinduzi wa simu hizo mpya hapa nchini. meneja bidhaa wa simu hizo amewahakikishia watanzania kuwa bidhaa hizo ni zenye ubora wa hali ya juu na iiyokja kujibu haja ya wateja wa smartphone |
 |
| King'ori akonyesha simu hizo mpya aina ya Lumia kutoka kampuni ya Microsoft. si mara ya kwanza kwa kampuni ya Lumia kuingiza bidhaa zao hapa nchini na kwa mujibu wa mkuu huyo wa bidhaa, simu zake zimepokewa vizuri sokoni. Kwa sasa simu hizo zinapatikana katika maduka yote ya simu, ia katka marafiki wao ambao ni kampuni ya simu za mikononi za Airtel.Tigo, na Vodacom |
Kampuni ya Microsoft mapema hii leo imezindua simu tatu kali za Lumia aina ya Lumia 540,Lumia 640XL na Lumia 430 katika soko la Tanzania ikiwa ni ahadi yao ya kuendelea kutoa simu nzuri kwa watanzana hususani simu za Smartphone
Simu ya Lumia 640XL , ni simu ambayo inatumia laini mbii na inampa mteja uhuru wa kuchati kupitia apps mbalimbali ambazo zipo katika simu hiyo mpya. simu hiyo inauzwa kwa Tsh. 520,000.Wakati ile ya lumia 540 ambayo nayo ni ya laini mbli inauzwa kwa Tsh.380,000. simu ina kioo cha rangi nchi 5 ina kamera ya nyuma mega pixel 8 ikiwa na frash na pia iwa na camera ya mbele yenye mega pexel 5 ikiupa zaidi huru wa kupiga picha za SELF.
Wameta wametakiwa kuchamkia smu hizo mpambazo zimekuja na teknolijia nzuri kutoka katika kampun ya microsoft, betri ya simu yake ni imara na kwamba ina kaa kwa muda mrefu. Teknlojia wanayotumia kutengeneza betri za smartphone ni sawa na le ya Nokia na ndi maana mpaka sasa bado hawajapata kero za watumiaj wa smu zao juu ya kulaamikia wa betri.
No comments
Post a Comment