Zinazobamba

DUNIA HAINA HURUMA KWELI-- WEZI WACHOMWA KAMA KUKU TABATA LIWITI,KISA SOMA HAPA KUJUA






Pichani ni watu wanaohisiwa ni vibaka wakiwa wamechomwa moto na wananchi wenye hasira kali.
 
Picha nyingine pia ya watu wanaohisiwa ni Vibaka waliochomwa moto na wananchi wenye hasira kali 



Hizo ni picha ni za wezi ambao hufanya wizi kwa kutumia pikipiki. Inasemekana vijana hao wawili walikuwa kwenye pikipiki maarufu kama bodaboda walimnyang'anya mkoba binti mmoja leo alfajiri.
            Watu walijitokeza na kuwakamata baada ya hapo waliwakata mikono na kuwachoma moto.
 Polisi walifika eneo la tukio na kuchukua miili ya watu hao.
 Tumeweka picha chache  kwa tahadhari nyingine zipo katika hali mbaya kiasi ambacho hatuwezi kuziweka hapo


No comments