Zinazobamba

ROSE NDAUKA , MZEE CHILO WAKITIKISA CHUO CHA USAFIRISHAJI, WANACHO WACHANGANYIKIWA

Mwigizaji maarufu hapa nchini, Rose Ndauka akionekana mwenye nyuso ya furaha wakati akitoa neno kwa wanafunzi wa chuo cha taifa cha usafirishaji, Ndauka alikuwa Mgeni mwalika katika tamasha kubwa lililofanyika katika ukumbi wa makuti hall siku ya ijumaa, Hakika siku hiyo wanafunzi walianza na kujitolea damu, kucheza mpira pamoja na kuserebuka ukumbini

Ni kama wamekitikisa chuo, wasanii mashuhuri hapa nchini mapema wikiendi hii walikivamia chuo cha taifa cha usafirihsaji na kutoa maneno ya mwaka kwa wanafunzi wake baada ya kualikwa kufanya hivyo,
Ndauka na mzee Chilo kwa pamoja walifika katika Chuo cha Taifa cha usafirishaji majira ya saaa nne usiku na kuingia mojakwamoja ukumbini na kurakiwa na mashabiki pamoja na wanazi wa wasanii hao ambao kwa pamoja waliketi meza kuu wakisubiri ratiba ianze ili watoe mabobu yao,
Majira ya saa tano hivi, Ndauka alipata Zarula lakii hakusita kutoa neno lake la shukurani kwa jumuiya ya NIT na kuwataka wanafunzi hao kuwa Free Kumuita wakati wowote kama wakipenda kwani kwa maira yale amepata dharula na asingeweza kuendelea na burudani huku nyumbani kukiwa na matatizo, 
Chilo ndiye ambaye hakika alitoa kama sio mafundisho basi ni maneno ya busara ambapo aliwaonya vijana kutokuwa na majivuno kwani kwa kufanya hvyo hawatafika mbali,
Chilo ameenda mbele na kusema kuwa ni Lazima wanafunzi wahakikishe kuwa wanajiami katika mambo yao ili hata kama kuna mtu anawahitaji basi waweze kuwaamini,
Kama hujiamini basi wewe sio msomi, kwani msomi yeyote hua anajiamini iweje nyinyi msijiamini, Lazima ujimini ndiyo mwenzako atakuamini, na bila wewe kujiamini basi ujue hata kupata kazi itakuwa ni shida kwako alisema Mzee Chilo

Kama kawa totozi wakiwa makini kufuatilia kinachojiri katika ukumbi wa makuti, kwa sherehe kamahizi katika ukumbi huu tafadhari piga simu hapo juu
Hapa Rose Ndauka akiteta jambo na Jacline, Pembeni yao ni mzee chilo ambae pia alikuwa mgeni mwalikwa alikuja kuwapahsa habari vijana wenye nia ya kufanya kweli katika tasnia ya habari, Chilo amewataka wasomi wa chuo cha taifa cha usafirishaji kuwa tofauti kidogo na wasomi wa kisasa, hii ni kutokana na ukweli kuwa vijana wengi wa sasa hawachelewi kulewa sifa, Amewataka wasomi hao wasilewe sifa na wakubali kujifunza kila leo

Mtengeneza wimbo bora wa mwaka wa MY namba One Shed clever kulia Akiwa sambamba na walembo siku ya tamasha ndani ya ukumbi wa makuti hall, SHEDCLEVER hakusita kutoa usia wake jinsi alivyoruka viunzi na kufika hapo alipo, Clever anasema yeye ni mtoto wa kwanza katika familia ya mjeshi na mfanyabiashara huko Tabora, HATA HIVYO KUFIKA HAPO ALIPO ALIFANYA NGUVU YA ZIADA NA HIVYO KUWASHAURI WANA NIT KUIGA NYENDO ZAKE, tutawaletea makala ya kijana huyu hivi karibuni, baada yeye kurudi huko Dallas Marekani ambako amependekezwa kama producer bora.
Clever akiwa na designer anayekujaa kwa kasi hapa nchini, Mh. Mchongoma, wakipata picha ya pamoja na wadau wengine, Mchongoma ni mmoja wa madisigner wanaokuja kwa kasi hapa nchini na kwa sasa ameuanza moto huo kwa kuonyesha mavazi yake katika siku hiyo ya tamasha ndani ya ukumbi wa Makuti Hall, Mustafa hassanari akasome kwa kijana huyu, hakina kuna dalili la kufunika katika soko, tusubiri tuone, habari kamil


Mchox akiwa na Max katika siku ya kutambulisha mavazi yake yenye asili ya kiafrika, Mchox kwa sasa anaonekana kupatia hasa katika soko la mavazi. Ingawaje hajasomea fani ya mavazi lakini wadadisi wa mambo wanasema mchox atafika mbali kutokana na ukweli kuwa hiko ni kipaji chake

Ulikuwa ni usiku wa bata, kama haukuwepo siku hiyo basi angalia kwa picha tuuu, hawa ndio wadau waliotokelezea katika usiku wa nguo za Mchox
Kama kawa mchox akiwa na watotozi



Mgurugenz wa HD media Group akiwa amepozi kwa picha, Huyu ni mmoja wa wadau waliofanikisha kukamilika kwa tamasha la kufunga chuo cha taifa cha usafirishaji, huyu alikuwa mwenyekiti wa kamati ya  tamasha hilo
Ankari wakiwa pamoko, hakika ni siku iliyofana


hiyo ni timu ya Procurement ikikabidhiwa Kombe baada ya kuwafunga Logistics katika ngao ya hisaniiii, Chilo alipata fursa ya kukabidhi kombe hlo la hisani


ulifika wakati wa kuonyesha mavazi hapa mmoja wa modal wa mchox akionyesha mavazi ya designer mchox

mavazi ya mdau, ukizipenda nitafute hata mimi utapata nguo unayohitaji bei ni niwaambia
wandewa wakifuatilia kwa makini onyesho la mwaka hapo chuo cha taifa cha usafirishaji.

wasanii nao hawakuwa nyuma kuuburudisha hadhila, hakika ulikuwa ni usiku wa faraja kwa jamii ya wananit



Hakuna maoni