joti avamia soko la filamu sasa, aja na filamu ya sanduku la babu, adai hiyo ni bonge la funika bovu
Msanii
Lucas Mhavile 'Joti'baada ya kukaa kimya kwa mda sasa ameibuka na filamu yake
ya Joti Sanduku la Babu ambayo amecheza katika husika tofauti tofauti.
Filamu
hiyo itakuwa ikisambazwa na Kampuni yaproin promotions ya jinini Dar es
salaam akizungumzia filamu hiyo Joti alisema kuwa amekuja kivingine kwani
kitu alichofanya katika filamu hiyo haijawai kutokea wala kufanywa na mtu
yoyote yule katika tasinia hii ya filamu nchini hivyo wapenzi wangu wakae
mkao wa kula tu kwani wakati wowote kuanzia sasa itakuwa inaingia sokoni kwani
filamu hii si yakukosa mana unambiwa uzee mwisho chalinze mjini
kila mtu
honey hivyo wapenzi wa filamu nawaomba wanunue nakala alisi ya filamu hiyo
pindi itakapotoka ambapo nimelezea mambo mbalimbali ya ujana usichana pamoja na
uzee mbali na hivyo filamu hiyo imebeba mambo matatu muhimu kwanza ina
burudisha pia ina elimisha na kupata ujumbe muhimu kabisa katika jamii
inayotuzunguka' filamu hiyo ya kwanza tangu joti aweke kando mambo ya filamu
na kujingiza katika mambo ya uchekeshaji kupitia luninga sasa ameludi tena
katika filamu yake mwenyewe inayokwenda kwa jina la joti sanduku la
babu
No comments
Post a Comment