WIZI WA LAPTOP VYONI WAPOTEZA UWAHI WA MTU, WANACHUO WAGEUKA MBOGO NA KUMUUA WMENZAO,
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) cha jijiniMwanza, Helma Michael (22) ameuawa kwa kupigwa mawe na wanafunziwenzake, wakimhisi kuwa ni mwizi wa kompyuta ndogo za mkononi na dekichuoni hapo.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa, Valentino Mlowola, alisema juzi kuwamwanafunzi huyo aliuawa Mei 13 mwaka huu saa 4.00 usiku, katika eneo laNyamalango Malimbe, ambapo baada ya kubainika katika eneo hilo alianzakupigwa kwa mawe, fimbo na mapanga hadi kusababisha kifo chake: “Huyuameuawa katika tuhuma ambazo mpaka sasa hazijathibitishwa,” alisema. Kutokana na mauaji hayo, watu 17 wamekamatwa na Polisi imeanzauchunguzi kuhusu tukio hilo huku Kamanda Mlowola akiwataka watu kutojichukulia sheria mkononi kwa kuwaua watu ambao hawana hatia.
No comments
Post a Comment