hivi ndivyo mzee Yusuph alivyowamaliza wapinzani wake
| Miongoni mwa wasanii walioshindana katika Tamasha hilo kupia kategory mbalimbal;i, wasanii hao walivuna mamilioni ya Tsh katika tamasha hilo, |
| waimbaji wa jahazi modern Taarabu wakiwa kazini, jahazi waliwashinda Tot morden Taalanu katka mashindano hayo ya Tamasha |
| tunawajibika, nao hawakukosa katika Tamasha hilo, moja ya vigezo vya kushinda ilikuwa ni uvaaji, wimbo unahusu muungano, pamoja na kuimba vizuri |
| Wapiga vyombo vya mzee Yusufu wakiwa wamevalia kizanzibari wakiwajibika juukwaani, vazi hilo lilionekana kuwafurahisha vilivyo majani wakisema limewakilisha pande zote bara na Tanganyika |
| Wananchi wakifuatilia kwa makini Tamasha hilo, |
No comments
Post a Comment