KAMISHINA WA POLISI KANDA MAALUM Y ADARESALAM AMEWATUNUKU JUMLA YA WAHITIMU ZAIDI YA MIA TANO WA ULINZI SHILIKISHI, AFYA NA MAZINGIRA KATIKA HALMASHAULI YA WILAYA YA TEMEKE NA KUWATAKA WAFANYE KAZI KWA KUFUATA MISINGI NA WELEDI WA KAZI WALIYOFUNDISHWA
 |
KAMISHINA WA POLISI KANDA MAALUM YA DARESALAAM, AKIFAFANUA JAMBO KWA WAHITIMU WA MAFUNZO YA ULINZI SHILIKISHI MAPEMA HII LEO, KULIA KWAKE NI MKUU WA WILAYA HIYO BI. SOPHIA MJEMA NA KULIA KWAKE MJEMA NI SHEKHE MKUU WA MKOA WA DARESAALAM ALHADI MUSA |
AKIZUNGUMZA MBELE YA WAHITIMU HAO MAPEMA HII LEO KAMISHINA KOVA AMESEMA MAFUNZO WALIOPEWA VIJANA HAO NI MAZURI SANA YALIYOLENGA KUTOKOMEZA VITENDO VYA UHARIFU KATIKA MAENEO YAO WANAYOISHI NA KUONGEZA KUSEMA KUWA WAHITIMU HAO WATAKUWA CHANZO KIZURI CHA KUPATA TAARIFA ZA UHARIFU KATIKA MAENEO YAO YA MAKAZI
AIDHA KAMISHINA KOVA AMESEMA WAHITIMU HAO WATASAIDIA KWA KIASI KIKUBWA KULETA HALI YA USAFI KATIKA WILAYA TEMEKE NA HIVYO KUWEZA KUONDOKANA NA HALI MBAYA AMBAYO IMEKUWA IKIISUMBUA JIJI LA DARESALAAM
 |
WAZEE WA WILAYA HIYO WAKIFUATILIA KWA MAKINI JINSI WATOTO WAO WANAVYOTUNUKIWA VYETI NA KAMISHNA WA POLISI WA KANDA MAALUM |
 |
BAADHI YA WANANCHI WALIOHUDHULIA KATIKA HAFLA HIYO |
 |
KAMANDA WA POLISI TEMEKE, AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA KAMISHINA WA POLISI KANDA YA DARESALAAM, NYUMA YAKE NI WALINZI SHILIKISHI WALIOTUNUKIWA VYETI |
No comments
Post a Comment