VIGOGO TEMEKE WASEMA WAMEJIPANGA, NI KUTOKANA NA KASI ZA ONGEZEKO LA TAKA ZINAZOZAILISHWA KATIKA MANISPAA HIYO, WADAI ONGEZEKO HILO NI DALILI NZURI YA JIJI KUWA SAFI
AKIZUNGUMZA NA MWANDISHI WA HABARI HIZI MAPEMA HII LEO MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA HIYO BW. MAABADI HOJA AMESEMA KUWA VIJANA HAO WATASAIDIA SANA KATIKA SUALA LA ULINZI SHILIKI NA AFYA PAMOJA NA MAZINGIRA HII NI KUTOKANA NA UKWELI KUWA VIBAKA NA WANAOCHAFUA MAZINGIRA WANATOKA MIONGONI MWA WANANCHI WA WILAYA HII,
AMEONGEZA KUSEMA KUWA WANATARAJIA KUONGEZEKA KWA KASI YA USAFI KATIKA MANISPAA HIYO , NA HILO LINAWEZEKANA KAMA WOTE WTASHILIKIANA KATIKA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO
NAIBU MSTAHIKI MEYA WA TEMEKE BW.JUMA MKENGA AKIFAFANUA ZAIDI KWA WAANDISHI WA HABARI |
AMEONGEZA KUSEMA KUWA CHANGAMOTO YA KUZOA TAKA HIZO SASA IMEKUWA NI KUBWA NA KWAMBA SASA WANAANZA KUJIPAMBA VIZURI KUHAKIKISHA KUWA MILIMA YA TAKA ZINAZOZALISHWA KATIKA MANISPAA HIYO ZINATUPWA KWA WAKATI,
MKURUGENZI WA MANISPAA HIYO BW. PHOTIDAS KAGIMBO AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA MWANDISHI |
No comments
Post a Comment