Zinazobamba

MUSTAKABALI WA MBEGU ASILIA KATIKA MUKTADHA WA SERA NA SHERIA ZA TANZANIA ZINASEMAJE, SOMA HAPA UJUME HATMA YA MBEGU ZA WAZAWA

WAKULIMA WADOGOWADO WAEONYESHA WASIWASI WAO JUU YA SERA ZA KILIMO NA MBEGU ZINAZOENDELEA KULETWA HAPA NCHINI HUKU MBEGU ASILIA ZIKIACHWA SOLEMBA WAKIDAI KUWA MFUMO HUO UTALETA JANGA KWA TAIFA AMBAO ASILIMIA KUBWA YA WAKAZI WAKE WANATEGEMEA KILIMO,

AKIZUNGUMZA KATIKA MJADALA MAALUM ULIOITISHWA MAPEMA HIV KARIBUNI JIJI  DARESALAAM, MMOJA WA WAKULIMA HAO AMESEMA SERA ZA SASA KWA MKULIMA HAZIKO WAZI NA KWAMBA HAIFAHAMIKA KAMA MKULIMA AMEPATA HASARA KUTOKANA NA MBEGU ZINAZOINGIZWA NCHINI AKADAI WAPI????

KUMEKUWA NA KAMPENI KUBWA SANA ZA KUHAMASISHA WAKULIMA KUTUMIA MBEGU ZA GMO AMBAZO TAYARI ZIMEONYESHA KUWATIA HASARA WAKULIMA KULE MKOANI TABORA,HIVI NI NANI SASA ATAWAJIBIKA KUWALIPA WAKULIMA IKIWA WATAHARIBU ARDHI YAO, CHAKULA CHAO NA NGUVU ZAO ZILIZOPOTEZWA

MMOJA WA WATAALAMU AKISIKILIZA HOJA KWA MAKINI TOKA KWA WADAU WALIOHUDHULIA MKUTANO HUO WA SIKU TATU

MWANASHERIA WA SERIALI KATIKA WIZARA YA KILIMO AKIFAFANUA JAMBO MBELE YA WADAU HAO, MWANASHERIA HUYO AMESEMA SUALA LA MBEGU ZA ASILIA LINAPEWA KIPAUMBEE MKUBWA SANA NA KWAMBA HOFU AMBAYO IMEJAA KWA WATANZANIA WENGI JUU YA UWEKANO WA KUTOWEKA KWA MBEGU ZETU NI MDOGO KWA TAKRIBANI ASILIMIA 80 YA MBEGU ZINAZOTUMIKA KUDHALISHA MAZAO YETU NI ZA KIENYEJI.

MKULIMA MDOGOMDOGO TOKA MKOANI MBEYA AKIFAFANUA JAMBO KWA WADAU, MKULIMA HUYO AMESEMA WAKULIMA WANACHANGANYWA SANA NA SERA ZA SERIKALI, KWANI SASA HAWAJUI WATUMIE MBEGU ZIPI HASA NA NI KWA NINI MBEGU ZA ASILI AMBAZO BAUBU NA MABABU WAMEKUWA WAKIZITUMIA HAZIPIGIWI DEBE KAMA MBEGU ZA GMO, AU NI SUALA LA RUZUKU

No comments