Waganga wa tiba asili wamjia juu msajiri wao, wasema amekuwa sio msikivu kwa wadau wake
WIKI MOJA BAADA YA SERIKALI KUWATAMBUA RASMI MADAKTARI WA TIBA ASILIA, WAGANGA HAO WAMEWATAKA SERIKALI KUTOA USHIRIKIANO WA KUTOSHA ILI KUWEZA KUTIMIZA MALENGO YA KUOKOA VIZAZI VYA KITANZANIA KWA DAWA ASILIA,
WAGANGA HAO WAMESEMA ILI KUSHIRIKIANA VIZURI HAKUNA BUDI OFISI YA MSAJIRI IKAWA RAFIKI KWA WADAU WA TIBA ASILI NA WAACHE TABIA YA KULAZA FOMU ZA MADAKTARI WANAOMBA KUPATIWA VYETI VYA UTAMBULISHO ILI WATOE HUDUMA KWA WATEJA WAO,
WAMESEMA IMEKUWA NI HULKA YA OFISI YA MSAJIRI KUCHELEWESHA MCHAKATO WA UTOAJI VYETI KWA WAGANGA WA TIBA ASILI HALI INAYOWALETIA GUMU WA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAO KWA WATEJA WAO KWA WAKATI

No comments
Post a Comment