YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE NCHINI
Mkurugenzi
Msaidizi wa Idara ya Habari Bi. Zamaradi Kawawa akiwatambulisha kwa
waandishi wa habari wawasilishaji toka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
katika mzunguko wa pili wa Taasisi za Serikali kuongea na waandishi wa
habari, KATIKATI ni Mratibu wa Taifa wa Mpango wa Magonjwa yaliyokuwa
hayapewi kipaumbele Dkt. Upendo Mwingira na KULIA ni Afisa Habari
Bi.Catherine Sungura wote kutoka Wizara hiyo, wakati wa mkutano
uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari leo Jijini Dar es Salaam
Mratibu
wa Taifa wa Mpango wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele toka
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Upendo Mwingira KUSHOTO
akiwaonesha waandishi wa habari Dawa za Kingatiba za Magonjwa yasiyopewa
kipaumbele yaliyosambazwa katika wilaya 97 kupitia Bohari kuu ya
Madawa. KULIA ni Afisa Habari Bi.Catherine Sungura wote kutoka Wizara
hiyo, wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari leo Jijini
Dar es Salaam.
Mratibu
wa Taifa wa Mpango wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele toka
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Upendo Mwingira KUSHOTO akieleza
kwa waandishi wa habari juu ya mpango wa serikali kuendelea kuimarisha
udhibiti wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele nchini, wakati wa
mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari leo Jijini Dar es Salaam
KULIA ni Afisa Habari wa Wizara hiyo Bi.Catherine Sungura.
No comments
Post a Comment