BLOGGERS WAPEWA SEMINA YA KUJIENDESHA KIBIASHARA, WATAKIWA KUANDIKA MAMBO YA KUJENGA NA SIO KUDHALILISHA ILI WAPATE WATEJA WENGI
Mkurugenzi wa TCRA John Nkoma alivyofungua semina ya bloggers inayoendelea jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwapa uwezo wa kujiendesha kibiashara
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma akiwasilisha
mada ya kwanza juu ya Ukubwa wa Sekta ya Mawasiliano hapa nchini wakati
wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers)
hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu
ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es
Salaam.
Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Innocent Mungy akifafanua jambo wakati wa Warsha ya
siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Bloggers) hapa
nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es
Salaam.
![]() |
MDAU EXAUD MTEI AKIWA BIZE KATIKA SEMINA HIYO, KULIA KWAKWE NI MWANDISHI MWANDAMIZI WA PASSION FM |
Mkurugenzi wa Sekta ya Washangiaji na Watoa Huduma wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),Dkt. Raynold Mfungahema akiwasilisha
mada wakati wa Warsha ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando
(Bloggers) hapa nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza
B,jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya Wapiga Picha kutoka Vyombo mbali mbali vya habari wakiendelea na zoezi la kuchukua matukio mbali mbali wakati wa Warsha
ya siku mbili kwa wamililiki wa magazeti tando (Blogggers) hapa
nchini,iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Makao Makuu ya
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza B,jijini Dar es
Salaam.
![]() |
MZEE WA CELLEBRITY BLOG AKIWA BIZE |
Baadhi ya Bloggers mbali mbali hapa nchini wakiwa kwenye Warsha
hiyo ya siku mbili iliyoanza rasmi leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa
Makao Makuu ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,Uliopo eneo la Sinza
B,jijini Dar es Salaam.
No comments
Post a Comment