PICHA VIKAO VYA CCM DODOMA AGOSTI 26
ccm wakiwa kazini
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya
Taifa (NEC) ya CCM, leo Agosti 26, 2013. Makao Makuu ya CCM, mjini
Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana.
cc

Mwenyekiti
wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha NEC, leo Agosti 26,
2013 mjini Dodoma. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
No comments
Post a Comment