Zinazobamba

sabasaba kumekucha,raisi mstaafu wa Comoro ajionea makubwa,Nae mama ana mkapa anena .

Mama ana mkapa akiangalia baadhi yaa bidhaa katika mabanda ya biashara sabasaba mapema hii leo


 Ikiwa leo ni july 2 na maonyesho ya sabasaba yakifikisha siku yake ya tano, maonyesho hayo yameanza kuonyesha kuchangamka baada ya watu wengi kuanza kumiminika katika viwanja hivyo na kujichukulia biadhaa mbalimbali,

Katika maonyesho hayo viongozi mbalimbali wameonekana kutembelea mabanda mbalimbali huku kivutio kikubwa kikiwa wanyama mbalimbali katka banda la maliasili

 Mwenyekiti wa mfuko wa fulsa sawa kwa wote Mama Ana Mkapa akiangalia bidhaa,
Hapa mwenyekiti huyo akipata ufanunuzi juu ya ubora wa bidhaa za mama huyu,

Mwambile Samueli akionyesho uwezo wa bidhaa yake katika masuala ya mapishi,wananchi mbalimbali walijitokeza kuangalia ubora wa bidhaa yake.
 Samuel anauza vifaa vya kukatia makabichi, nyanya, viazi mbatata na makaroti.
Hapa meneja Matangazo wa blog ya fullhabari akiangalia moja ya bidhaa zilizo wakilishwa katika viwanja hivyo
 Katika maonyesho hayo viongozi mbalimbali walihuzuria akiwamo Rais mstaafu wa jamuhuri ya watu wa Comoro Bw. Ahmedi Mohamedi Sambi,
Hapa raisi mstaafu wa Comoro akifafanuliwa jambo na waonyesha bidhaa katika banda la malaka ya elimu ya ufundi stadi (VETA) jioni hii.

 Hapa akipata maelezo ya kina kutoka kwa wadau wa maonyesho


Mmoja wa Komando akifafanua jambo kuhusu seckta ya ukomando kwa wananchi waliohudhulia maonyesho hayo katika banda lao la JWTZ


No comments