 |
| HAPA NDO MANZESE YA SASA, SAFISHA NYUMBA MZEE ANAKUJA YAFANIKISHA KUONDOA WAPANGA BIDHAA BALABALANI |
Mpenzi msomaji wa blog hii ya jamii sehemu hii ilikuwa inafulika bidhaa mbalimbali ambazo zilikuwa zikimwaga chini, watanzania waliokuwa wanajipatia riziki yao kwa njia hiyo sasa wako manyumbani wakilia njaaaa
Tuzungumze kama wazawa wa taifa hili hivi ni kweli hali hii mnaichukuliaje, Tafhali posti maoni yako
 |
| Panapendeza, wadau wakipita kwa nafasi,bila kuogopa kukanyaga biadhaa, |
sehemu hii huwa panawekwa bidhaa kuliko sehemu nyingine yeyote lakini ndo kama panavyonekana, IT IS OBAMA TIMEEEEEEEEEEEE
 |
| KAMA KAWA WADAU WAKIJIPANGA KUPANGA BIADHAA LAKINI HAIWEZEKANI WAKIFIKA POLISI NI MWENDO WA MBIO |
No comments
Post a Comment