Zinazobamba

BILALI KUJIONEA MWENYEWE JUMAMOSI, NI ZIARA YA TANDALE KUGAGUA USAFI

MAKAMU WA RAISI ANTARAJIWA KUWA NA ZIARA YA SIKU MBILI YA KUKAGUA USAFI KATIKA JIJI LA DARESALAAM NA MJI JIARANI WA BAGA MOYO KATIKA MKOA WA PWANI MAPEMA WIKI IJAYO

AKIZUNGUMZA NA WANAHABARI JIJINI ARESALAAM, WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS ANAYESHUGHULUKIA MAZINGIRA Bi. Terezya Huviza,amesema ziara hiyo itaanzia ofisini  ya makamu wa rais na kupitia maeneo ya Tandale,Mabibo,tabata kumalizikia huko Bagamiyo mkoani Pwani

Ziara hiyo imekuja siku chache baaa ya kuona hali ya usafi badp ni tete na hivyo muheshimiwa raisi kuamua kuingia kazini mwenyewe kuona nini hasa kinachofanya jiji la Daresalaam kuenelea kuwa katika hali ya uchafu
Akizungumzia suala la mji kupigwa eki nyakati za ujio wa Obama, uvisa amesema hiyo ni suala la kawaia kwani turikuwa tunamkarimu mgeni na kwamba wao wamejipanga kuendelea na kuumisha usafi wa jiji mua wote

No comments