TRA BENKI KUU YAANZISHA MFUMO MPYA WA KUKUSANYA KODI ,UNAITWA RG
Na Selemani magari
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kwa kushirikiana na Benki kuu ya tanzania wameanzisha mfumo mpya wa kukusanya kodi kwa walipa kodi utakaounganisha mifumo ya benki kuu, mifumo ya benki za biashara, mifumo ya wadau mbalimbali na mifumo mbalimbali ya ukadiliaji na ukusanyaji wa kodi za serikali waliupa jina la Rg
Akitangaza mfumo mpya wa kukusanya kodi kwa njia ya mtandao kwa waandishi Mkurugenzi wa fedha Mr.Saleh Mshoro amesema mfumo wa kutumia mtandao utaongeza kwa kiasi kikubwa huduma bora kwa mteja kwani kwanza itamuwesha mteja kulipa kodi yake huko aliko na pia kuwezesha mamlaka kupata taarifa zamlipa kodi kwa wakati
Ameongeza kusema kuwa mmalipo kwa njia ya mtandao yako salama na kwamba walipa kodi wasihofu lolote kwani kwa sasa wamejipanga kukabiliana na uharifu kwa njia ya mtandao
Aidha Mr. Mshoro ameongeza kusema kuwa kwa kuanzia wameanza na walipa kodi wanaotumia mfumo wa TISS ambao kodi zao huanzia milioni tano na kuendelea na kwamba wateja wote ambao malipo yao yako chini ya milioni tano wataendelea kulipa kwa njia zilezile za zamani ,lakininao wataingizwa katika mfumo huu wa RG
Menejahuyo amesema kuanzia julai 2013 ulipaji utaanza rasmi na kwamba amewashauri walipa kodi kutumia njia ya mtandao wa RG kwani mfumo unaorahishisha maisha kwani waweza lipahata ukiwa nyumbani kwako, ofisini na hata ukiwa safarini
Kwa yeyote yule anayehitaji kupatiwa maelezo zaidi tafadhari piga namba za bure zifuatazo
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kwa kushirikiana na Benki kuu ya tanzania wameanzisha mfumo mpya wa kukusanya kodi kwa walipa kodi utakaounganisha mifumo ya benki kuu, mifumo ya benki za biashara, mifumo ya wadau mbalimbali na mifumo mbalimbali ya ukadiliaji na ukusanyaji wa kodi za serikali waliupa jina la Rg
Akitangaza mfumo mpya wa kukusanya kodi kwa njia ya mtandao kwa waandishi Mkurugenzi wa fedha Mr.Saleh Mshoro amesema mfumo wa kutumia mtandao utaongeza kwa kiasi kikubwa huduma bora kwa mteja kwani kwanza itamuwesha mteja kulipa kodi yake huko aliko na pia kuwezesha mamlaka kupata taarifa zamlipa kodi kwa wakati
| Mkurugenzi wa Fedha Mr. Saleh Mshoro akifafanua jambo kuhusu mfumo huo wa malipo kwa njia ya mtandao |
Ameongeza kusema kuwa mmalipo kwa njia ya mtandao yako salama na kwamba walipa kodi wasihofu lolote kwani kwa sasa wamejipanga kukabiliana na uharifu kwa njia ya mtandao
Aidha Mr. Mshoro ameongeza kusema kuwa kwa kuanzia wameanza na walipa kodi wanaotumia mfumo wa TISS ambao kodi zao huanzia milioni tano na kuendelea na kwamba wateja wote ambao malipo yao yako chini ya milioni tano wataendelea kulipa kwa njia zilezile za zamani ,lakininao wataingizwa katika mfumo huu wa RG
| Meneja Mradi wa ulipaji kodi kwa njia ya mtandao Mr. Ramadhani Sangati akifafanua jambo kuhusu namna ya malipo yatakavyolipwa kupitia mfumo huo mpya |
Menejahuyo amesema kuanzia julai 2013 ulipaji utaanza rasmi na kwamba amewashauri walipa kodi kutumia njia ya mtandao wa RG kwani mfumo unaorahishisha maisha kwani waweza lipahata ukiwa nyumbani kwako, ofisini na hata ukiwa safarini
Mr.Sangati akifafanua zaidi
| Kamishina wa uchunguzi wa kodi Mr.Lusekelo Mwaseba akifafanua jambo kuhusu usalama wa fedha zinazolipwa kwa mfumo wa mtandao kuwa ni salama na wamejipanga kukabilianan na wizi wowote utakaojitokeza |
0800110016 kwa TTCL na VODACOM
0786800000 Kwa mtandao wa Airtel
0713800333 Kwa mtandao wa tigo
No comments
Post a Comment