Zinazobamba

CREDIDINFO KUPUNGUZA RIBA YA MABENKI KWA KIASI KIKUBWA,YAKABIDHIWA LESENI YA KUWA MDAU WA KUKUSANYA TAARIFA ZA MADENI




 Na Selemani magari
Hatimaye kampuni ya CredidInfo imefanikiwa kupata usajiri wa kuendesha biashara ya kukusanya taarifa za kifedha hapa nchinibaada ya benki kuu kuridhishwa na namana kampuni hiyo inavyofanya kazi

Hiyo inamaana kuwa sasa taarifa mbalimbali za kifedha sasa zinaweza kupatikana kwa urahisi zaidi katika kampuni hiyo kwani taarifa zote za  mabaenki zinazotumwa benki kuu ya tanzania [BOT] zitapatikana katika database ya credit info hivyo ni rahisi kwa mabenki kuweza kufahamu taarifa za wakopaji wao
"Kama mteja amekopa katika Benk A na hajaweza kulipa deni lake na wakati huohuo anataka kukopa katika benk B mteja huyo hataweza kudanganya kwani benki husika wataweza kuangalia taarifa zake za maelezo yake kupitia database yetu na hivyo kumrahisishia kazi kama kunahaja ya kumkopesha ama la.

Hapa mkurugenzi mtendaji wa CreditInfo Tanzania Bw,David Kahwa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari
 Bwana kahwa amesema mpango huo utawasaidia wananchi kwa kiasi kikubwa kwanza kupunguza riba na pia kuweza kuaminika na kukopesheka
Mkurugenzi wa taasisi hiyokatika idara ya upanuzi Bw. Hakon Stefansson akifafanua jambo kwa waandishi

 WAHESHIMIWA WAKIFAFANUA JAMBO


Stefansson amesema ma bank yataidika sana na huduma za kampuni hiyo na kwamba wamejipanga kuhakikisha wanatoa huduma bora na kushindana na ushindani utakaojitokeza



No comments