Zinazobamba

MATUKIO KATIKA PICHA WANANCHI WAKIPATA ELIMU KUHUSU NYUMBA JANJA

Wananchi wakipatiwa elimu kuhusu teknolojia ya nyumba janja inayomuwezesha mwananchi kudhibiti na kufanya matumizi sahihi ya umeme, umuhimu wa kutumia Nishati safi ya umeme kwa ajili ya kupikia na katika vyombo vya moto, walipotembelea Banda la TANESCO katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara  yanayoendelea jijini Dar es salaam



No comments