GEN Z, BADO HUJACHELEWA.
Kama bado hujafika Sabasaba, hii ndiyo sign yako
Fika Banda la Wizara ya Nishati ukutane na Generation Z wenzako, upate mchongo wa maarifa, ushauri na tips muhimu kuhusu kila kinachohusu sekta ya nishati, kuanzia nishati safi ya kupikia, umeme, mafuta, gesi asilia hadi fursa mbalimbali zilizopo kwa vijana.
Na si hivyo tu… tunahakikisha unaondoka na zawadi itakayokufanya uendelee kuishi maisha ya kisasa, huku ukiwa Balozi wa matumizi sahihi ya nishati.
📍 Gen Z wote tukutane Banda la Wizara ya Nishati, lililopo karibu na jengo la TANESCO katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere, Barabara ya Kilwa, jijini Dar es Salaam.

Usije ukaambiwa… fika ujionee mwenyewe!
#SabasabayaDhahabu2026
#WizarayaNishati
#GenZSabasaba
*#Day6*
No comments
Post a Comment