DKT. BURIAN ATEMBELEA BANDA LA REA MAADHIMISHO YA WIKI YA CHAKULA DUNIANI
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Dkt. Batilda Buriani leo Oktoba 11,10,202 ametembelea Banda la Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Wakati wa ufunguzi wa maazimisho ya wiki ya chakula Duniani yenye kauli mbiu Tuungane pamoja kupata chakula Bora kwa Maisha Bora ya Badae. yanayoazimishwa Jijini Tanga.
DKT Batilda amesema maazimisho haya ya 44 ya wiki ya chakula Duniani mwaka huu yameazimishwa Mkoani umo kwenye viwanja vya Usagara hivyo kwa Wananchi Wananchi wa Jiji Hilo kuja kwa wingi mambo kujionea mambo mazuri Sambamba na Hilo amewataka wananchi kufika kwenye Banda la REA kwani watajipataia majiko kwa bei ya ruzuku na hii yote ni kuunga mkono kampeni ya Nishati safi ya Mhe Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania DKT Samiha Suluhu Hasan
No comments
Post a Comment