Zinazobamba

RAIS WA SMAUJATA AUTAKA UBUNGE KIVULE.


Na Mwandishi.

Makamu wa RAIS wa Seneti ya Jumuiya (SMAUJATA? shujaa wa maendeleo wa ustawi wa Jamii Fredrick Nelson Rwegasira amechukua fomu ya kutia nia ya dhati ya kugombea Ubunge Jimbo la Kivule. 

Rwegasira amechukua fomu hiyo leo Julai 1,2025 katika Ofisi za Katibu wa CCM Ilala Chief Sylvester Yaredi. 

Aidha amesema kwamba amejipima na kujitambua kua anafaa kugombea nafasi hiyo kwa ajili ya kuwaletea maendeleo wananchi wa Kivule. 

No comments