
Na Mwandishi Wetu.
Mkurugenzi Mtendaji wa Msama Promotion, Alex Msama amerudisha fomu ya kutia nia ya kugombea Ubunge Jimbo la ukonga.
Msama amechukua fomu Juni 29,2025 na amerudisha fomu hiyo leo Julai 1 ,2025 kwa katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi.
No comments
Post a Comment