Zinazobamba

AFRICAN ORTHODOX DEREKHI wanatarajia kuanzisha dhehebu la kiafrika

AFRICAN ORTHODOX DEREKHI,wanatarajia kuanzisha dhehebu la kiafrika ambalo linakuwa na mfumo rasmi wa kiafrika.

Hayo yalisemwa na Mwinilisiti Silvanus Ngemera,wakati akizungumzia na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam.

Anasema kuwa kumekuwa na makanisa mengu duniani,Ila wao wanatarajia kufanya mapinduzi ya kuanzisha dhehebu la African  Orthodox Derekhi, ambapo dhehebu hilo, litakuwa la kiafrikazaidi.

" Tunapozu gumzia dhehebu lakiafrika tunazu gumzia kuwa Mambo yake yatakuwa ya kiafrika zaidi hata katika upande wa nyimbo zitakuwazi atenge ezwa za asilili ya afrika," anasema.

Anaongeza kuwa mapinduzi mara nyingi huwa yanachukuwa muda lakini baadae matunda yake yatao ekana.

Anasema awali biblia ilia dikwa na lugha za kirumi na kilatini  ikaja kiingere,a Sasa tunaona biblia hadi za baadhi ya makabilia zipo.

Kwa kufanya hivyo kumewawezesha watu kuiso.a biblia kupitia kugha wanayoifaha.u.

Akasema kuanzishwa kwa dhehebu hilo la kiafrika kutawasaidia pia waafrika kwa kujivuni asili yao.

Anasema African Orthodox Derekhi,linajikita kumlenga mungu katika macundisho yake.

Anaongeza kuwa,mungu ni mmoja wanakataa hoja dhaifu kwamba ISHO ni mungu.

Anasema kuwa ISHO ni mteule wa mungu aliyewekwa kuwa mchungaji  na kiongozi wa milele .

" Dini ya Derekhi inatutaka tuache dhambi na siyo tufanye uchambuzi wa mamlaka za mbinguni ," anasema.

Anaongeza  kuwa,Sasa lile tunalotu.wa na mungu linatushinda tunazua hoja tusizotu wa kuzichungua.

Anasema wanafundisha ucha mungu wa maneno mafupimafupi ikiwamo vitendo virefu vya imani.

Anaongeza kuwa wanafundisha kupatanisha na wa mungu baba na sio umma wa watenda dhambi ,wanafundisha upendo na kutotenda dhambi.

Hakuna maoni